Kwa nini wabembe wanajiita taifa teule la Mungu ?
Wabembe wanaishi Kivu ya kusini kwenye tarafa la fizi na mwenga... Wanapatikana itombwe, nganja, Tanganyika, mutambala na lulenge. Miji yao mikubwa ni Baraka, kipupu, mikenge, tubangwa, tulambo, misisi, mboko, kilembwe, lulimba na fizi centre. Idadi ya wabembe haijulikani kwa sababu sababu vita vilifanya watawanyike Dunia nzima. Kwa leo wanapatikana kwa uwingi: Congo DRC, Congo Brazzaville, Angola, Tanzania, Burundi, Canada, Australia na USA. Wanakaa na makabila majirani kama vile: Warega, washi, wafuliru, wanyindu, wavira, vizimba, wabwari, wahemba, wazoba, na wabangubangu. Kulingana na historia yao: ndugu zao ni wa lega, wa bangubangu, wa zimba, wa vira, wa hemba. Wanajidai kuwa waisraeli kwa sababu ya miujiza wanazozitenda ambazo makabila mengine hawawezi kufanya... Wakati wa vita wabembe ni wajasiri kweli... Wanakwenda vitani bilan silaha na wanashinda vita. Wanampenda Mungu na si raisi raisi kumuona mubembe mwizi... Hawapendi ukorofi, ukimkorofisha anaweza aka kataa kazi yako na
Commentaires
Enregistrer un commentaire