Kwa nini wabembe wanajiita taifa teule la Mungu ?

Wabembe wanaishi Kivu ya kusini kwenye tarafa la fizi na mwenga... Wanapatikana itombwe, nganja, Tanganyika, mutambala na lulenge. Miji yao mikubwa ni Baraka, kipupu, mikenge, tubangwa, tulambo, misisi, mboko, kilembwe, lulimba na fizi centre. 

Idadi ya wabembe haijulikani kwa sababu sababu vita vilifanya watawanyike Dunia nzima. Kwa leo wanapatikana kwa uwingi: Congo DRC, Congo Brazzaville, Angola, Tanzania, Burundi, Canada, Australia na USA. Wanakaa na makabila majirani kama vile: Warega, washi, wafuliru, wanyindu, wavira, vizimba, wabwari, wahemba, wazoba, na wabangubangu.

Kulingana na historia yao: ndugu zao ni wa lega, wa bangubangu, wa zimba, wa vira, wa hemba.

Wanajidai kuwa waisraeli kwa sababu ya miujiza wanazozitenda ambazo makabila mengine hawawezi kufanya... Wakati wa vita wabembe ni wajasiri kweli... Wanakwenda vitani bilan silaha na wanashinda vita. Wanampenda Mungu na si raisi raisi kumuona mubembe mwizi... Hawapendi ukorofi, ukimkorofisha anaweza aka kataa kazi yako na anakwenda kulima shamba hata kama ni professor.

Wabembe wote wana umoja, umoja akikupenda basi wote watakupenda... Na wakipatana neno hakuna mtu anayeweza kuibadili.  Wabembe wengi sana ni wakristo na wengi wa bahai na wengine ni idadi kibwa ya mji wa baraka wana dini ya malikia wa ubembe.

Wabembe wote duniani wana umoja wao wanasema emo'ya mbondo inamaanisha umoja wa wabembe, tena wanasema emo i makala kwa kiswahili umoja ni nguvu. Hizi maneno zinawatia wanembe nguvu hata kwenye vita.

Wabembe walipewa na Mungu inchi ya maziwa na asili inayoitwa ésé ebalo.  Wabembe wakikutana hata kazini wanazungumza kwa lugha yao ya kibembe. 



LUSALANGO Ù BABONDO BOSE M'ESE

Tùbe émo,

Becu bose tùle baana ba mbondo, tùle babembe, taùle lùshi ù babembe.

A benu bale m'Afilika, bale Amelika, bale Azia, bale Oseania na bale bùlaya, tùbe émo, émo i makala... M'mango toca misaù y'a ù mboka na kila wose ùle m' binge bise a été ata geste. A bee entreprise u'wabo.

Na tùmango ùatelecana, hapana iibelela bawashika ùùno.🙏

Commentaires

  1. Asante kwakusimulia angalau kwa ufupi historia ya wabembe. Nimheongeza tu kwamba wabembe wanapatikana pia Brazili, Kenya, Togo, Cameron, Europe, na takriban kila nchi duniani.

    RépondreSupprimer
    Réponses
    1. Asante kwa mchango wako, ni kweli wabembe wako Dunia nzima.

      Supprimer

Enregistrer un commentaire

Posts les plus consultés de ce blog