Wimbo wa kwanza wake Mwinjilisti Justin Aonwa kuwekwa kwenye mtandao wa youtube. Wimbo huu una halasisha waimbaji kuona kwamba KAZI walionayo ya kumwimbia Yesu Kristo ni kubwa sana. Tena unapendeza Mungu.
Justin Aonwa ni msanii wa nyimbo za injili pa Burundi. Wimbo huu wa Nazi nzuri unaonesha namna gani alivyo chaguwa kazi ya kumwimbia Yesu Kristo aliye Bwana na mwokozi wa maisha Yetu.
Je vous invite à regarder cette prédication, du début jusqu'à la fin. Justin Aonwa #Aonwa #evangile #predication Écrivez-moi ici aonwaai@gmail.com Whatsapp : +243998615054 Voir le film complet de Jésus Christ en français